Wednesday, May 30, 2012

SWALI GUMU KWA YEYOTE MUUNGANO KWAKO KUN FAIDA GANI?

Naombeni ndugu zangu watanzania msinishangae kwa mambo ninayo fikiria kuhusu muungano ya tanganyika na zanzibar ulio washirikisha wazee wetu , ndg,KARUME NA J. K .NYERERE, ni kweli waliunganisha udongo kwa kuuchanganya tuu!n apich azao hadi sasa tunazo je swali ni hili
 kwan nini zanzibari isihesabike kama mkoa wa tanzania katika kila swala linaloihusu isimame kam amkoa uliopo katika nchi ya tanzania?
  •  hivi kwa nin raisi wa zanzibar anatawal anchoi yenye watu wasiopungua millioni moja na nusu na kujihesabu kama yeye ni rais?
  • kwan kati ya dar n azanzibari kwa hesabu ya watu ipi ingestahili kuitwa nchi?
  • ni faid azipi kote tanzania na zanzibar wamefaidi toka muungano huo 1964?
  • kwa nin tanzania bara in ang'ang'ania muungano usio na maslahi kwa taifa letu?
  • hadi sasa makanisa yanachomwa huko zanzibar je ni kitu gani ambacho wanawatafuta wakristo?
        • mwisho nawaombeni taaanzania bara tukae na zanzibar na kila upande uishi kivyake kwa kufuata taratibu stahiki"

No comments:

Post a Comment