Monday, April 30, 2012

MEI MOSI NA TANZANIA YETU YA LEO!

Inashangaza kweli tumekuwa watu wa kuwa na sikukuu zisizo na tija kwa hiyo nikiwa kama mtanzania nashangaa na kuingiwa na hifu kwa tanzania yetu ijayo yaan the coming generation: hivi wiki mbili sasa tumekuwa na siku mbili bila kufanya kazi na hii haichagui office ni ya government au private. ni swala la wote:
 maswalimagumu niliyokuwa nayo ni:
 1:tanzania inafaidika vipi na sikukuu ya mei mossi almaarufu kama siku ya wafanyakazi?
 2:tanania inafidia vip upotevu wa mapato katika siku hiyo moja inayopoteza?
 3:huwa wana kauli mbiu za kila mwaka bila kutiliwa mkazo au kutofanikiwa kiujumla.
 4:sijui ni lini kama serikali itaamua kufuta sikukuu zote zisizo na tija kwa taifa hili:
     MWISHO NAWATAKIA WATANZANIA WOTE SIKUKUU NJEMA YA MEI MOSI!

Sunday, April 29, 2012

SIMBA SPORT CLUB!

         ILIKUWA MAJIRA YA KAWAIDA KWA MECHI KUPIGWA KATIKA UWANJA WA TAIFA WA TANZANIA, KAMA KAWAIDAWAWAKILISHI PEKEE WA TANZANIA KWENYE KOMBE LASHIRIKISHO KUMFANYA KITU  MBAYA SANA WAARABU KUTOKA SUDAN, NA HAPO TAYARI TUMESHA KWEND AHATUA NYINGINE, THANXS KWA WAPENZI WA SIMBA NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KWA USHABIKI AU COMPANY YA KUTOSHA BILA KUWASAHAU WALE WALIOWEZA KUENDELEZA UZALENDO YAAN WATAN WETU!BADO MUENDELEE KUTUOMBEA MUNGU TUWAKILISHE IPASAVYO!
  MIM KAMA MPENZI NA SHABIKI MKEREKETWA WA CLUB YA SIMBA~

Tuesday, April 24, 2012

BUNGE LA TANZANIA

 Jana tarehe 23 april bunge l jamhuri ya tanzania liliahirishwa  rasmi na mh waziri mkuu MIZENGO KAYANZA PINDA hadi 12 june 2012!ila maswali mengi tumebaki nayo watanzania hasa wenye hali ngumu y amaisha kama mimi na wengi wetu tunaoishi kwa nguvu za mwenyezi mungu!
1:hotuba y awaziri mkuu yawa nyepesi na bila kuonesha sehemu yoyote anayosema kuwa  hapendezwi na utendaji wa mawaziri  wenziye:
2:kuna kura za maoni za kutokuwa na imani na waziri mkuu zinazoendelea na kwa sasa zimefikia 74 while zilikuwa zinahitajika  70 zaidi ya 20%, je utekelezaje wake utasubiri bunge lijalo au muda wowote kutoka sasa?
3:inaonesha kuwa mh rais anawabembeleza sana mawaziri wake na ndio maana wanakuwa na jeuri kiasi wanavyotaka wao?
 END:kweli kam awatafanikiwa kumwondoa waziri mkuu kwani wabunge ndio wan auwezo huo basi hapo baraza la mawaziri nalo litakuw abatili hivyo lazima livunjwe"so kwa kuona hivi ni lazima wabunge wafanye juu chini kumwondoa waziri mkuu na next itakuwa bwana JK kuvunja baraza lake lisilokuwa na tija kwa mtanzania wa kawaid akam amim na wewe! 

MAHAKAMA YA KISUTU SOGEZENI JLADA MBELE

Ni swala la kushangaza sana kesi kusomwa kwa mara ya pili bila kuamua kitu chochote, inajulikana kuwa mdogo wetu lulu is suspected to kill the late kanumba last month,sawa na kesi ilisomwa mara ya kwanza na kuahirishwa hadi april 23, sikatai kwa kusema kuwa ushahidi bado haujakamilika:sasa maswali yangu ni haya kwa wahusika:
   1:kwa nini mnaendelea kushughulikia kesi ambayo hamna dhamana ya kuisikiliza labda tu mpate jurisidiction from high court?
  2: inasemekana lulustill under 18 kwa hiyo kwa nin kesi yake isisikilizwe n akuwa solved kwa kufuata kanuni za watoto?
 3;inashangaza kuona zaidi ya askari magereza saba na polisi wakiwa wanamsindikiza lulu, kwani kawa fisadi?
 MWISHO!NAPENDA JAMANI HILI SWALA LIARAKISHWE KWANI KUNA MAMBO MENGINE Y AMSINHI YANATAKIWA KUFANYIKA PELEKENI JALAD AHIGH COURT  NA TANZANIA JAMAN WATU WENYE UWEZO WA KISHERIA JITOKEZENI KWA KUMSAIDIA LULU!@MUNGU MBARIKI ELIZABETY MICHAEL!

Monday, April 23, 2012

kweli bunge letu  la Tanzania hawaoni umuhimu wa kuongea muda angalau mambo ya msingi yamalizike kuliko kuahirisha mkutano leo wakati kuna mambo mengi y akutolea ufafanuzi!bless tanzani aever ilatunahitaji baraza jipya la mawazir trust you jk!
amen in the name of good!

hello friends and buddies enjoy the inc!!

i think this gonna be best than most i brought about!lov u all enjoy the next episode!