Friday, December 27, 2013

near 2014

  kwa kudra za mwenyezi mungu,safari ya kuanza mwaka 2013 ilikuwa ina vikwazo vingi sana ikizingatiwa kuwa kuna watu ambao tulifungua nao mwaka but kwa mipango ya mungu leo hii atunao tena...,awaweke mahali pema peponi, vilevile wengi wetu wamepata vilema visivyotegemewa, na wengine wapo hospitali mpaka leo hii hawajui hatima yao ni nin..
kwa kila jambo jitahidi kumshukuru mwenyezi mungu hata kama lilikuchoma na kuumia sana, ila mungu ndiye mpangaji wa kila kitu.
kw akipindi cha muda huu mfupi uliobaki kabla ya kufunga mwaka.. tuishi vizuri tuombane misamah kwa tuliowakosea na ishi kwa kumpendeza mungu...
asanteni sana, nawapenda sana ndugu zangu.