Wednesday, May 30, 2012

SWALI GUMU KWA YEYOTE MUUNGANO KWAKO KUN FAIDA GANI?

Naombeni ndugu zangu watanzania msinishangae kwa mambo ninayo fikiria kuhusu muungano ya tanganyika na zanzibar ulio washirikisha wazee wetu , ndg,KARUME NA J. K .NYERERE, ni kweli waliunganisha udongo kwa kuuchanganya tuu!n apich azao hadi sasa tunazo je swali ni hili
 kwan nini zanzibari isihesabike kama mkoa wa tanzania katika kila swala linaloihusu isimame kam amkoa uliopo katika nchi ya tanzania?
  •  hivi kwa nin raisi wa zanzibar anatawal anchoi yenye watu wasiopungua millioni moja na nusu na kujihesabu kama yeye ni rais?
  • kwan kati ya dar n azanzibari kwa hesabu ya watu ipi ingestahili kuitwa nchi?
  • ni faid azipi kote tanzania na zanzibar wamefaidi toka muungano huo 1964?
  • kwa nin tanzania bara in ang'ang'ania muungano usio na maslahi kwa taifa letu?
  • hadi sasa makanisa yanachomwa huko zanzibar je ni kitu gani ambacho wanawatafuta wakristo?
        • mwisho nawaombeni taaanzania bara tukae na zanzibar na kila upande uishi kivyake kwa kufuata taratibu stahiki"

Thursday, May 24, 2012

TABIA HII IMEZIDI SANA.

      imekuwa ni jmbo lakawaida office nyingi kuwa tumia secretaries kabla hujaingia kwenye office zao direct!kwa hiyo inanishangasa sana baada ya muda mfupi na hao wandugu wanataka kufany akazi ambazo mabossi wao wanazifanya kwa mfano waweza kufika unamtaka uonane na bosi wake ila yeye anaanza kukuuliza kwna wewe una tatizo gani tayari kwa kukusikilza na mwishowe anjipanya anakupa jibu ambalo angekupa bosi wake! 
     tena ushukuru mungu umkute unayemtaka unaweza kupona klutopewa jibu mapema na mwana mama huyo au akina baba kwenye baadhi ya office, 
  kwa hiyo neno langu ni moja tuu!
    you bosses watch out, gonna loose the will from your customers!!!!! and for those who try to be like their bosses end will reach and you will never be a boss through the bad path!
   kiukweli yatawafika haya kama mnajifany amnajua sana!

Saturday, May 19, 2012

KWANGU NAONA KAMA UPUMBAVU

Kweli napenda kushukuru kwa sasa tuna vituo vya  tv vya kutosha ila najua bado vitaongezeka, siku hadi siku, vilevile teknologia still inapanda kwa kasi siku hadi siku ila tatizo langu mimi ni kuwa watazamaji bado hawajawa na akili za kutosha na kwa simu zao wanazotumia, hivi ni kwa nin kipindi kinaendeshwa na mtu anaweza kuchangia chochote anachotaka kwa njia ya sms au facebook au twitter, but kinachochangiwa ni watu kutafuta marafiki na wengine wanataka wachumba sasa sielewi ndio mtu anachangia kwa style gani hiyo?
   kwa ufupi naombeni tubadilikeni tutumie mitandao yetu vizuri!

Saturday, May 5, 2012

HADI ANALIZA KILA MBUNGE ATAKUWA ASHAONJAUWAZIRI

 Slaam watanzani awenzangu hivi kwa mwenendoi wa mawaziri kuaminiwa then wanazingua, na mtu huyo huyo aliyewapa ridhaa hawafanyi chochote zaidi ya kuwavua uwaziri  na wizi wote waliofanyia tanzania, je ni kwa nin tusiwafukuze hadi ubunge?n angalizo langu ni kuwa hadi analiza uraisi zaidi ya 78% ya ccm watakuwa washauonja uwaziri !tafakarin?

Thursday, May 3, 2012

thanks god!

dear my friends! you just know that nothing is impossible before god!nw am back to the business god help me ever as well as my friends!