Thursday, May 24, 2012

TABIA HII IMEZIDI SANA.

      imekuwa ni jmbo lakawaida office nyingi kuwa tumia secretaries kabla hujaingia kwenye office zao direct!kwa hiyo inanishangasa sana baada ya muda mfupi na hao wandugu wanataka kufany akazi ambazo mabossi wao wanazifanya kwa mfano waweza kufika unamtaka uonane na bosi wake ila yeye anaanza kukuuliza kwna wewe una tatizo gani tayari kwa kukusikilza na mwishowe anjipanya anakupa jibu ambalo angekupa bosi wake! 
     tena ushukuru mungu umkute unayemtaka unaweza kupona klutopewa jibu mapema na mwana mama huyo au akina baba kwenye baadhi ya office, 
  kwa hiyo neno langu ni moja tuu!
    you bosses watch out, gonna loose the will from your customers!!!!! and for those who try to be like their bosses end will reach and you will never be a boss through the bad path!
   kiukweli yatawafika haya kama mnajifany amnajua sana!

No comments:

Post a Comment