Saturday, May 19, 2012

KWANGU NAONA KAMA UPUMBAVU

Kweli napenda kushukuru kwa sasa tuna vituo vya  tv vya kutosha ila najua bado vitaongezeka, siku hadi siku, vilevile teknologia still inapanda kwa kasi siku hadi siku ila tatizo langu mimi ni kuwa watazamaji bado hawajawa na akili za kutosha na kwa simu zao wanazotumia, hivi ni kwa nin kipindi kinaendeshwa na mtu anaweza kuchangia chochote anachotaka kwa njia ya sms au facebook au twitter, but kinachochangiwa ni watu kutafuta marafiki na wengine wanataka wachumba sasa sielewi ndio mtu anachangia kwa style gani hiyo?
   kwa ufupi naombeni tubadilikeni tutumie mitandao yetu vizuri!

No comments:

Post a Comment