Monday, April 30, 2012

MEI MOSI NA TANZANIA YETU YA LEO!

Inashangaza kweli tumekuwa watu wa kuwa na sikukuu zisizo na tija kwa hiyo nikiwa kama mtanzania nashangaa na kuingiwa na hifu kwa tanzania yetu ijayo yaan the coming generation: hivi wiki mbili sasa tumekuwa na siku mbili bila kufanya kazi na hii haichagui office ni ya government au private. ni swala la wote:
 maswalimagumu niliyokuwa nayo ni:
 1:tanzania inafaidika vipi na sikukuu ya mei mossi almaarufu kama siku ya wafanyakazi?
 2:tanania inafidia vip upotevu wa mapato katika siku hiyo moja inayopoteza?
 3:huwa wana kauli mbiu za kila mwaka bila kutiliwa mkazo au kutofanikiwa kiujumla.
 4:sijui ni lini kama serikali itaamua kufuta sikukuu zote zisizo na tija kwa taifa hili:
     MWISHO NAWATAKIA WATANZANIA WOTE SIKUKUU NJEMA YA MEI MOSI!

No comments:

Post a Comment